Ushauri: Kwa Utawala huu je ni biashara gani inafaa na inalipa japo kidogo

Sikia kijana; usiwe na mawazo mgando kama wale walioshindwa!
Biashara ya chakula sio lazima iwe ya mama ntilie, anaweza kufanya biashara ya kusambaza chakula kwenye ofisi za watu binafsi, mashuleni n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…