Ushauri kwa vijana Wakike na Kiume

Ushauri kwa vijana Wakike na Kiume

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Ushauri huu unatoa mwanga mzuri kwa vijana kuhusu maadili na namna ya kujitunza.

1-no tattoos
2-no kutoboa pua na maskio kwa wanaume.
3-no twerking hadharani.
4-usivae kibukta kinachoacha nusu paja wazi.
5-jifunze kutengeneza hoja jifunze kuongea na watu
6-ukipata chance ya kusoma piga book soma hadi phd whatever
7-usifike miaka 30 bila mtoto.
8-jifunze kurisk pesa ili upate pesa
9-achana na wake za watu.
10-jifunze kuvaa vizuri official unavyotoka sio kila siku pens jezi na sendo.
 
ujana bila changamoto hata haunogi sasa mtu unakuwa lipooole yani hata kupigana hupigani,kula vizazi huli,mtu hata kuchora tatoo huchori tukuone nawewe ni mafia!,we kuvaa masalawili tu kama akina mwaipopo!. nyumbani unarudi saa kumi na mbili jioni,bangi huvuti,pombe hata ukere watu utusuane nao vizazi hapana!. mwisho wasiku mtu badala alete nyamnyam anakuwa yeye ndo nyamnyam!
 
sawa mkuu sikupingi kwakua ni chaguo lako good
 
Back
Top Bottom