MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Tunajua mnafanya kazi kubwa ya usajili. Pamoja na vipaji mnavyopambana kuvichukua lakini tuna tatizo kubwa la vipaji kutokea hapa nyumbani. Hii imepelekea mara nyingi tubakie na local players wale wale muda mrefu sababu mbadala wao ni finyu sana.
Moja ya kipaji ambacho toka akiwa kinda wengi tulikubali kipaji lakini akakosa usimamizi mzuri ni Raphael Daud ambaye yupo Ihefu kwasasa. Mchukueni huyu dogo atatufaa kati ya machaguo machache ya ndani.
Ni hayo tu.