Siongelei majungu na sina muda nayo naongelea performance output ya kuhudumia wananchi walio wengi ambao ndio wapiga kura serikali zilizopita zilikuwa za viongozi sio za wananchi zilikuwa za akina una unanijua mimi nani mimi ni shemeji au hawara na bosi nk shenzi type kura upewe na wanyonge halafu uwatishie nyau .Magufuli aliua hiyo na isijirudie .Mama Samia hili usikubali kuwa serikali iwe ya viongozi iwe ya wakipa kodi ya wanananchi sio wananchi utapata shidaSamia anaakili na ni mstarabu wewe,hawezi kamwe kufata ujinga wa magu,magu alikuwa mfano mbaya katika jamii ya wastaarabu
Toka tupate Uhuru kila Kiongozi wa nchi amekuwa akikemea rushwa bila mafanikio hata ya kupunguza tu achilia mbali kukomesha kabisa mpaka sasa imekuwa wimbo lakini tatizo liko palepale. Hao wanaokemea rushwa ndo wanaodai (hawaombi) na kupokea kwa kwenda mbele bila wasiwasi wowote kwa sababu wamatengeneza njia salama za kupokea bila kukamatwa na wakikamatwa kinga imara zimetayarishwa ndo maana wanaokamatwa ni vidagaa wanaopokea rushwa ndogondogo ambazo hata wenyewe haziwatoshi au wale wanaotoa chini ya viwango vinavyodaiwa. Karibuni tu Twaweza kila mwaka walikuwa wanatoa tathimini ya mwenendo wa vita dhidi ya Rushwa katika taarifa ya mwisho kabla hawajafungiwa walisema Rushwa kwa ujumla imepungua lakini vinara bado wanaongoza Polisi wakifuatiwa na Mahakama wakifuatiwa na Afya lakini sote tunajua kilichowapata. Taasisi yakupambana na Rushwa ilianzishwa wakati mbalimbali lakini mafanikio yake labda kubadilisha jina mara kuwa mara mpaka Wafanyakazi wake wachache nao wakajiingiza kudai Rushwa. Tatizo, kama kawaida yetu Watanzania, tunaangalia tulipoangukia badala ya tulipojikwaa ndo maana tunaendelea kujikwaa Awamu baada ya Awamu. Wahusika wajiulize nani wanaopokea Rushwa na kwa nini, nani wanatoa na kwa nini?ali
Na kemeeni rushwa!
huko sahihi migomo kibao kila kona ya madaktari watu wanakufa kwa spidi ya Kikwete haikubalikiAtakayefanya kazi kwa speed ya JK ametoboa
acha kutisha viongozi wetu kila zama na kitabu chake,unataka kusema mzee baba hakuongeza salary na madaraja ishu kwa watumishi na hao viongozi waendeleze moto uleule? mh amirat wetu hapangiwi cha kufanya ye mwenyewe anajua na atapangua mdogo mdogo hadi ngosha members waishe,chapa kazi mama niko bega kwa bega na wewe ,japo chama changu pendwa ni mlengo wa kushoto,hainizuii kukusapoti,ombi binafsi kwako mama ajira ya 2014 tunasotea madaraja mwaka wa 7 tuhurumie familia zetu kubwa maisha yametukaba madeni hayaishi,salary advance ndo inatufuta machoziViongozi wa umma nawapa ushauri wa bure kuepuka kutumbuliwa na Raisi Mpya Samia
1. Spidi mliyokuwa nayo kipindi cha Rais Magufuli msiache mkiacha wananchi watatungua kilio kumlilia kumkumbuka Magufuli kuwashtaki kwa Raisi mpya kuwa angekuwepo tungepata huduma kwa wakati na spidi nk hivyo Raisi atawachukulia kama mnamhujumu au kumdharau kwa kuwa ni mwanamke lazima atawatumbua.
2. Angalieni foleni zitakazo huduma kwenye taasisi zenu ukiona foleni ndefu au mafaili ya kero mengi tafuta ufumbuzi haraka kabla wananchi hawajampigia yowe Raisi akutumbue.
Kila moja awe Magufuli kwa spidi ileile kutatua kero bila kusubiri Raisi aje au apelekewekero na wananchi.Utatumbuliwa.Uwe na antenna zako mwenyewe kama mkuu wa taasisi au idara au wilaya au mko au wizara au shiriki au kitengo kujua kuna kero gani zipo za kukera wanamchi zinazotakiwa zitatuliwe na uzitafutie ufumbuzi haraka kama huna mamlaka andika shauri upesi mbele kwa waluo juu yako kwa maandishi ili likibuma usije kuwa mbuzi wa kagara kuwa ohh sijui sheria za bunge sijui taratibu ndivyo zinasema hivi nk wakati zinaumiza wananchi peleka ushauri mbele haraka.
3. Heshimu Rais Mpya hata uwe mjuaji vipi Mama Samia ndie Rais
4. Uwe mbunifu kutatua kero na kubana matumizi na kubuni njia za kuongeza mapato ya serikali kwenye eneo lako biña kuumiza wananchi wanyonge ambao ndio majority wapiga kura.Mfano halmashauri wawe wabunifu wa miradi miongeza ajira na mapato na kupunguza kodi korofi kwa wanyonge.
5. Kila mkuu awaze je mimi nitapunguzaje kero za wanyonge na kuongeza mapato ya serikali bila kuumiza mnyonge na kuwe na weekly report ya hilo.
6. Taasisi zote zifanye kazi kama timu moja ya serikali wasitupiane mpira kukiwa kuna mgongano watafute solution pamoja sio ohh mimi hili halinihusu ni la fulani kwangu nimemeliza.
Wengine ongezeni nimeitwa kuna kikao nitaandika mengine baadaye.
Pisikali kama pisikali mnashauriana utopolo wenu,mataga hamjawahi kua na akiliViongozi wa umma nawapa ushauri wa bure kuepuka kutumbuliwa na Raisi Mpya Samia