100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
- Thread starter
- #41
Kuanzia muuza pombe, mchezesha kamari, wote wawe na leseni maalumu, endapo watoto wakinywa hapo na akabainika kawauzia, ni kunyang'anywa leseni na adhabu juu. Au kuchezesha watoto kamari, ni adhabu na leseni inachukuliwa.Kwenye suala la umri wafanyabiashara hawajali kabisa. Kuna sehemu niliingia nikakuta watoto wa shule wanabet katika ile mashine ya kuingiza shilingi 200 mpaka nikamwambia mhusika wa pale asiwaruhusu watoto kucheza kamari