Ushauri kwa wale wataalam wa Magari

Ushauri kwa wale wataalam wa Magari

Zarumenda

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2020
Posts
360
Reaction score
482
Matamanio yangu nikumiliki gari aina tofauti na toyota kwasasa japo kipato changu ni chakati yaani chakawaida. Navutiwa sana nagari hizi, Mitsubishi Outlander, Volkswagen tourage na Honda crossroad.

Je, gari gani kati ya hizo naweza kuhimili mikiki mikiki yake? japo nyuzi nyingi humu zinaonesha ugumu wa matunzo yake hasa spare zake.

Ningefurahi ushauri uwe wakitataalam zaid. Nawasilisha
 
Hiyo list ya Magari yote yakibabe Sana....hata Mimi natamani niuze gari Yangu ninunue honda crossroad hii gari kama kimuonekano basi ni namba moja.
Leo nimepisha nayo crossroad anaendesha mtoto wa kihindi aisee ni noma hasa facelift yake
 
Namatamanio sana nahizo gari asee
 
Ilituweze kukupa ushauri mzuri, ingetakiwa uelezee yafuatayo ;-

a. Idadi ya watu wanaopanda kila siku

b. Hali ya barabara ambapo itakua inapita kila siku - yaani ya lazma.

C. Umbali gari itakayokua inatembea kila siku (mfano kutoka nyumbani hadi ofisini)

d. Mkoa ulipo

Hii itasaidia kutoa mwanga / muongozo mzuri kwa watu wanaoelewa kuweza kusaidia kutoa ushauri wao kitaalamu.

Nawasilisha.
 
Upo sahihi kabisaaa
 
a. Sanasana familia tu watu wanne wakizid sana sita napo siku nikiamua kutokanayo maana ofisin nimwenyew tu.
b. Barabara kama korofi nikwakiasi kidogo tu maana nihapahapa dar.
c. Km zisizopungua 50 kila siku labda kama naamua kwenda nayo mkoa maana nimbali Mwanza.
 
kwa Mtazamo wangu,

Crossroad ni nzuri, kweli kweli haswa umbo lake la kama hammer na inakubali sana mapambo.

Binafsi, naona kwamba hizi ni kwaajili ya rika fulani la watu , nikimaanisha vijana - vijana.
ambao huenda wakawa bado hawana familia, ama wakiwa nazo ni ndogo sana bado.

lakini outlander, outlander ni kwaajili ya rika zote na kote kote ina fit.

Na the very best choice ambayo umefanya ni hapo kwenye Toureg. Hii sasa ndio yemyewe kabisa.

kwa sababu ni gari yenye nguvu, nafasi nanheshima vile vile.

Na inakuhakikishia kwenda sehemu yeyote ile bila tatizo lolote wala wasiwasi.

Kwahiyo, kwa upande wangu. Naomba ufikirie hizi gari mbili, yaani outlander na vw.

kwa kuzingatia idadi ya abiria , safari zako, hali ya barabara na kila kitu

muhimu tu ni kwamba, kuzingatia service, ikumbukwe hizi hazitengenezwi ja mafundi wa mtaani, bali zina mafundi wake.

Haya ni maoni yangu binafsi, and i stand to be corrected.
 
Asante kwa ushauri wako.
 
wakuu naombeni ushauri wenu

nina volkswagen polo ya 2006.

ina tatizo moja naomba msaada.

kila siku Asubuhi napata shida kuiwasha, yaani inawaka vizuri tu then ndani ya sekunde kadhaa ina stall... nikijaribu mara kadhaa haraka haraka naingiza gia nakukanyanga accelerator mpaka mwisho, inakua na power ndogo sana inaondoka kwa shida, then inachanganya haraka na inakua normal.

baada ya apo hata nikizima nkaiwasha inawaka vizuri tu.. shida ni hapo nikizima niache mpaka asubuhi ndo inaleta shida.

pia ikikaa idle mda kwa muda mrefu unazima yenyewe.

kuna fundi mmoja aliniambia kitu kama gari inashindwa kuchoma mafuta vizuri.

nawasilisha
 
Back
Top Bottom