Matamanio yangu nikumiliki gari aina tofauti na toyota kwasasa japo kipato changu ni chakati yaani chakawaida. Navutiwa sana nagari hizi, Mitsubishi Outlander, Volkswagen tourage na Honda crossroad.
Je, gari gani kati ya hizo naweza kuhimili mikiki mikiki yake? japo nyuzi nyingi humu zinaonesha ugumu wa matunzo yake hasa spare zake.
Ningefurahi ushauri uwe wakitataalam zaid. Nawasilisha