Mm ninayo 8.5M nataka premio au runx
Hiyo list ya Magari yote yakibabe Sana....hata Mimi natamani niuze gari Yangu ninunue honda crossroad hii gari kama kimuonekano basi ni namba moja.
Leo nimepisha nayo crossroad anaendesha mtoto wa kihindi aisee ni noma hasa facelift yake
Upo sahihi kabisaaaIlituweze kukupa ushauri mzuri, ingetakiwa uelezee yafuatayo ;-
a. Idadi ya watu wanaopanda kila siku
b. Hali ya barabara ambapo itakua inapita kila siku - yaani ya lazma.
C. Umbali gari itakayokua inatembea kila siku (mfano kutoka nyumbani hadi ofisini)
d. Mkoa ulipo
Hii itasaidia kutoa mwanga / muongozo mzuri kwa watu wanaoelewa kuweza kusaidia kutoa ushauri wao kitaalamu.
Nawasilisha.
Ilituweze kukupa ushauri mzuri, ingetakiwa uelezee yafuatayo ;-
a. Idadi ya watu wanaopanda kila siku
b. Hali ya barabara ambapo itakua inapita kila siku - yaani ya lazma.
C. Umbali gari itakayokua inatembea kila siku (mfano kutoka nyumbani hadi ofisini)
d. Mkoa ulipo
Hii itasaidia kutoa mwanga / muongozo mzuri kwa watu wanaoelewa kuweza kusaidia kutoa ushauri wao kitaalamu.
Nawasilisha.
Ipi?
kwa Mtazamo wangu,a. Sanasana familia tu watu wanne wakizid sana sita napo siku nikiamua kutokanayo maana ofisin nimwenyew tu.
b. Barabara kama korofi nikwakiasi kidogo tu maana nihapahapa dar.
c. Km zisizopungua 50 kila siku labda kama naamua kwenda nayo mkoa maana nimbali Mwanza.
kwa Mtazamo wangu,
Crossroad ni nzuri, kweli kweli haswa umbo lake la kama hammer na inakubali sana mapambo.
Binafsi, naona kwamba hizi ni kwaajili ya rika fulani la watu , nikimaanisha vijana - vijana.
ambao huenda wakawa bado hawana familia, ama wakiwa nazo ni ndogo sana bado.
lakini outlander, outlander ni kwaajili ya rika zote na kote kote ina fit.
Na the very best choice ambayo umefanya ni hapo kwenye Toureg. Hii sasa ndio yemyewe kabisa.
kwa sababu ni gari yenye nguvu, nafasi nanheshima vile vile.
Na inakuhakikishia kwenda sehemu yeyote ile bila tatizo lolote wala wasiwasi.
Kwahiyo, kwa upande wangu. Naomba ufikirie hizi gari mbili, yaani outlander na vw.
kwa kuzingatia idadi ya abiria , safari zako, hali ya barabara na kila kitu
muhimu tu ni kwamba, kuzingatia service, ikumbukwe hizi hazitengenezwi ja mafundi wa mtaani, bali zina mafundi wake.
Haya ni maoni yangu binafsi, and i stand to be corrected.
Jaribu kuangalia VW Tiguan badala ya Touareg