Ushauri kwa Walimu Wapya

Ushauri kwa Walimu Wapya

Fredrick Mmari

Senior Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
144
Reaction score
37
Habari wana jamvi!!
Naomba ushauri juu ya mfuko gani wa pensheni ni mzuri kujiunga nao??

Uzuri wake uko wapi ukitofautisha na mingine??
 
Lapf na pspf, ila pspf ndo the best...
usijaribu kabisa hata kukaribia ofisi za nssf wana longo longo hao
 
lapf na pspf wanamafao mazur ukicompare na mifuko mingine ya pensheni
 
Wadau najaribu kuwaelewa ila sababu naona wengi hamjanipa ukitofautisha na mifuko mingine
 
Back
Top Bottom