PreGE2025 Ushauri kwa walimu wenzangu: uchaguzi 2025 tuikatae CCM na iwe fursa ya kuiadhibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.

Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.

Nawakilisha.
 
Hao nyumbu mbona hawawezi kukuelewa, juzi CWT walikuwa wanamsifia bibi sijui kwa lipi? Yani maticha hamna kitu, wacha watumike tuu.
 
Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.

Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.

Nawakilisha.
SUGU hataki kuskia kabisa utapeli wa kibaka wa siasa wa eti no reform no elections,

unadani ni kwanini amempuuza mwenyekiti wa chama chake? :NoGodNo:
 
Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.

Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.

Nawakilisha.
Ccm hawategemei kura kukaa madarakani.
 
Mimi nilitegemea wewe kama mwalimu, mtu mwenye uelewa, ungehamasisha walimu kutenda haki sawa kwa vyama vyote; kumbe wewe unahamasisha kukataa chama fulani na kupendelea vyama fulani?
Kama walimu wenyewe ndio nyie, basi nchi hii tuna safari ndefu sana, na tutafika tuko hoi-bin-taabani!
 
kuna chama kinasadikika kusuka njama za kuratibu vita ya kibaolojia kwa kuingiza vimelea vya homa ya nyani kuvuruga uchaguzi niwape agalizo mnacho kiratibu sio kwamba hakifamiki hiyo tone tone itawatokea puani wallah
 
Huku mnawashawishi wanafunzi wenye miaka 15,16,17 wajiandikishe kwa lazima...
Misukule ya Ccm...
 
Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.

Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.

Nawakilisha.
Wamekusikia lkn cjui km watakuelewa maana hawa walikunywa maji ya bendera na kikumbiza mwenge
 
Mimi nilitegemea wewe kama mwalimu, mtu mwenye uelewa, ungehamasisha walimu kutenda haki sawa kwa vyama vyote; kumbe wewe unahamasisha kukataa chama fulani na kupendelea vyama fulani?
Kama walimu wenyewe ndio nyie, basi nchi hii tuna safari ndefu sana, na tutafika tuko hoi-bin-taabani!
Hakika nchi inaitaji uponyaji.kama walimu wenyewe ndo Hawa.
 
Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.

Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.

Nawakilisha.
Walimu ni mashahidi wanaopiga kura wengi CCM hakuna anayeibiwa ,kuibiwa ni mambo ya kufikirika kama watu wasioipenda CCM hawapigi kura tunaipenda tunapiga.
 
Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.

Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.

Nawakilisha.
MIMI NA MARAFIKI ZANGU TUNAIPENDA CCM.HATUDANGANYIKI NA VIBAKA NA MATAPELI WA KISIASA WALIOKO CHADEMA.BORA TUIPIGIE KURA ACT
 
Kwa uchunguz wangu nilio ugundua, watu weng wapo vyama pinzan ila moyo upo sisiem.
Na wanaangalia viongoz wa vyama pinzan wamekaa kihuni iv..
Wanakoswa sifa stahik za kumpgia kura mpinzan ambae hana uzoef, na ana njaa zaid ya waliopo madarakan..

haya wenye LOW IQ mnimwagie povu.
ukwel usemwe
 
Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.

Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.

Nawakilisha.
HAMKUJIANDIKISHA UNATARAJIA KUSHINDA UCHAGUZI LABDA MSHINDE NA NJAA
 
Umesema walimu tunateseka sana?
Au mi ndiyo Sijaelewa vizuri🤔
 
Back
Top Bottom