Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Hao nyumbu mbona hawawezi kukuelewa, juzi CWT walikuwa wanamsifia bibi sijui kwa lipi? Yani maticha hamna kitu, wacha watumike tuu.Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.
Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.
Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.
Nawakilisha.
SUGU hataki kuskia kabisa utapeli wa kibaka wa siasa wa eti no reform no elections,Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.
Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.
Nawakilisha.
Ccm hawategemei kura kukaa madarakani.Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.
Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.
Nawakilisha.
Wamekusikia lkn cjui km watakuelewa maana hawa walikunywa maji ya bendera na kikumbiza mwengeMiaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.
Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.
Nawakilisha.
Hakika nchi inaitaji uponyaji.kama walimu wenyewe ndo Hawa.Mimi nilitegemea wewe kama mwalimu, mtu mwenye uelewa, ungehamasisha walimu kutenda haki sawa kwa vyama vyote; kumbe wewe unahamasisha kukataa chama fulani na kupendelea vyama fulani?
Kama walimu wenyewe ndio nyie, basi nchi hii tuna safari ndefu sana, na tutafika tuko hoi-bin-taabani!
Pumbavu.Mimi nilitegemea wewe kama mwalimu, mtu mwenye uelewa, ungehamasisha walimu kutenda haki sawa kwa vyama vyote; kumbe wewe unahamasisha kukataa chama fulani na kupendelea vyama fulani?
Kama walimu wenyewe ndio nyie, basi nchi hii tuna safari ndefu sana, na tutafika tuko hoi-bin-taabani!
Walimu ni mashahidi wanaopiga kura wengi CCM hakuna anayeibiwa ,kuibiwa ni mambo ya kufikirika kama watu wasioipenda CCM hawapigi kura tunaipenda tunapiga.Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.
Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.
Nawakilisha.
hahahaha ndo mlivo wapinzan LOW IQ, kidogo tu umekasilika unatoa povuPumbavu.
MIMI NA MARAFIKI ZANGU TUNAIPENDA CCM.HATUDANGANYIKI NA VIBAKA NA MATAPELI WA KISIASA WALIOKO CHADEMA.BORA TUIPIGIE KURA ACTMiaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa mwaka huu iwe ndio fursa ya kuwaadhibu na kuhakikisha hakuna uibaji kura.
Walimu tuna maisha duni sana. Hata maslahi yetu hayako vizuri. Kwa ujumla tunateseka sana.
Nawakilisha.
HAMKUJIANDIKISHA UNATARAJIA KUSHINDA UCHAGUZI LABDA MSHINDE NA NJAAMiaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.