ushauri kwa waliofanya vizuri form four

nyamakonge

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
363
Reaction score
131
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza kwa kufanya vizuri katika matokeo yenu yaliyotangazwa jana.hongereni sana.

Pili napenda kutoa ushauri wangu wa hiari kwenu juu ya mambo yafuatay

1.Combination
kwanza kabla ya kwenda advance najua kila mtu ameshachagua aima ya masomo atakayopenda kusoma.eneo hili uwa lina tatizo sana hasa ukizingatia ufaulu wa mtu.cku zote matokeo sio kipimo cha akili so unaweza kufanya vizuri masomo flani lkn inawezekani una uwezo wa kuyasoma masomo hayo advance.kwaio unatakiwa kuchagua masomo ambayo una uwezo nayo..unaweza kua na b au a ya history lkn umeipata tu ka bahati.na hauna uwezo wa kulisoma somo hilo a level..so unatakiwa uchague kitu unachokiweza.

2.Mbadala
dunia ya sasa imebadilika na ina njia nyingi za kufikia jambo moja sio kama zamani.kama unataka kua.mhasibu,daktari,nesi,mwalimu,mwanasheria nk unaweza kufikia njia hiyo kwa kupita huku, , ,kwa matokeo yako let say unataka kua daktari na umepata div two form four unaweza kufanya application kwenye vyuo vya afya ukasoma clinical medicine ngazi ya diploma ukifaulu vizuri unakua na uhakika wa kupata degree yako bila kupita adv..same applied kwa wahasibu,wahandisi mkitumia vyuo kama cbe,tia mist,arusha tech nk

3.dhana
matokeo ya form four yameishia hapo form four na ni njia ya kukupa mwelekeo wa kuendelea na elimu ya juu.msije mkajidanganya kujigamba kwa matokeo yenu uko juu muendako mkifanya hivyo majanga makubwa yatawapata mtashindwa kutimiza ndoto zenu enendeni mkakazane
ktk masomo husika ili ndoto zenu zitimie.

wenu NYAMAKONGE
 
Umeeleza kweli mkuu sisi kuna wanafunzi walipiga one form wakati tunaingia form 6 wanatukejeli tu kwa kuwa tumepata division 2 na waliopata 3 walionekana Kama hawakua na uwezo wa kupasi, tahamaki Yake katika wale kuna mmoja wao form 6 kala zero na wenzake wameponea wana 4 kitu muhimu

Usiangalie ulipata nini, unatakiwa kuangalia unafanya nini
 


gud addition mkuu cs experience is the best teacher
 
good idea mkuu ila vijana wengi sasa wanapenda sifa mtaani wakati uwezo wao wa kupambana na mziki wa pcb au pcm ni mdogo naye anataka kuwa mkandarasi au daktari form 6 anaangukia pua.so kwa mimi naona vijana msiipende sana njia ya advance wakati kuna njia nyingine ya college kwanza unakuwa professinal mapema!
 
Njooni Arusha tech.where skills make the difference.

kuna jamaa zangu tulimaliza wote form four wakaenda arusha tech nowdays wamejiendeleza wanasoma mlimani bsc....pia kuna best angu anapiga electrical and biomedumical hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…