Ushauri kwa waliokosa mkopo

Ushauri kwa waliokosa mkopo

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Kama umekosa mkopo halafu umepangwa kati ya hvi vyuo IFM,IAA au TIA,nadhani vle vyuo wanafunz wake huwa wanadhaminiwa na wizara ya fedha na uchumi,so ka umepangwa hapo,jaribu kuwasiliana na wahusika ili ujue kama huo utaratibu bado upo au vp!
 
Asante mkuu kwa ushauri, manake tunaumia vbaya
 
ok jewale ambao tumekosa
mkopo na tumepangwa MUKO,SUA,UDSM tufanyeje? ama kweli nchi imeuzwa
 
Kwa sua, wanafatilia vizuri. Uongozi upo strong sana labda kwa sasa.
 
Kama umekosa mkopo halafu umepangwa kati ya hvi vyuo IFM,IAA au TIA,nadhani vle vyuo wanafunz wake huwa wanadhaminiwa na wizara ya fedha na uchumi,so ka umepangwa hapo,jaribu kuwasiliana na wahusika ili ujue kama huo utaratibu bado upo au vp!

Hata hivyo vyuo sio kwa kozi zote. Wanatoa kwa kozi za uchumi tu.
 
Back
Top Bottom