kumbukeni pia kufuatilia kwenye asasi mbalimbali; uwa wanasaidia sana kusomesha wanachuo.
In short me Mwenyewe Nimekosa Mkopo. Inaniuma ila kujifariji ni sehemu muhimu kwa maisha ya binadamu. Nimepoteza malengo yangu. Ndoto zimeyeyuka ghafla..!
Ulichagua course gani? Kukosa mkopo sio ndio mwisho wa kutimiza ndoto zako,unaweza ukasoma. Tafuta sponsorship na ndugu nyumbani wanaweza kukuchangia. Kuna rafiki yangu alikosa mkopo,amepata sponsorship Barrick wanamlipia ada yote yeye anahangaika hela ya chakula na mambo mengine madogo madogo! Lakini haikuwa rahisi ila Mungu amemsaidia
Natoa Pole kwa wote waliokosa Mkopo. Na pia nawashauri yafuatayo.-;
1. Kwa wale tusioenda JKT ni muda muafaka kuvutia kasi yakuomba upya mwakani
2. Usikae tu nyumbani bila shughuli watakuona tegemezi.
3.Jitahidi sana kuwaelewesha ndugu zako wakaribu ili wasiamini kua huu ndio mwisho wako waelimu.!
¤KUMBUKA¤
Wanafunzi wengi watapewa mkopo mwakani 2014 Maana Wanasiasa watahitaji kujisafisha Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2015.!
Mungu ibariki HESLB.
Mungu ibariki JF