inatakiwa tukubariane kwamba elimu ya tz ni bahati nasibu
unaweza ukaomba course priority alafu ukakosa mwenzio kaomba non priority kapata usiumie ndo bahati za watu zilivyo
nashauri yafuatayo
unaweza kusoma bila mkopo na ukaishi poa kwa kukubali yafuatayo
ukifika chuo kama ulikuwa bishoo sahau na kama ndo csta duu imekula kwako
kutumia smart usifikirie
bata zitakuwa kama kuomba rift defender
kusoma kwa stress hasa boom likitoka