Ushauri kwa waliokosa mkopo

Ushauri kwa waliokosa mkopo

uwepo

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
600
Reaction score
741
inatakiwa tukubariane kwamba elimu ya tz ni bahati nasibu
unaweza ukaomba course priority alafu ukakosa mwenzio kaomba non priority kapata usiumie ndo bahati za watu zilivyo

nashauri yafuatayo
unaweza kusoma bila mkopo na ukaishi poa kwa kukubali yafuatayo

ukifika chuo kama ulikuwa bishoo sahau na kama ndo csta duu imekula kwako
kutumia smart usifikirie
bata zitakuwa kama kuomba rift defender
kusoma kwa stress hasa boom likitoka
 
Kwanini usome kwa stress kama boom la wengine likitoka.
 
umeshauri au umefanyaje.
mbona hujaeleweka...
kusoma kwa stress ndo ushaur au..?
 
Back
Top Bottom