Umeingia akilini mwaoo ukaona wanawaza ngono kama wew..???Wasiwaze ngono
Mbona umeng'aka au nawe mmoha wao, hapo ni ushaur sasa kama hawatak hutak ww basUmeingia akilini mwaoo ukaona wanawaza ngono kama wew..???
Watoe asiilimia 10 kumchangia Mange Kimambi kutimiza majukumu ya kulikomboa Taifa hili.Ebu dondosha ushauri wako hapa kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu especially wale wanaopewa mikopo ya kimasomo(Ada) na pesa za kujikimu katika kupambana na hali ya maisha yaliopo mtaani watakapomaliza masomo.
Kupita fresh hakuhusiana na kuwa na Demu...!! Na wew ndo muwazaa Ngonoo au kuna mwanachuo kakumegea nin broo... Kuwa mpoleeMbona umeng'aka au nawe mmoha wao, hapo ni ushaur sasa kama hawatak hutak ww bas
Mm nilipita fresh na ndio maana naokota vijipesa huku niliko