Ushauri kwa wanachuo

Ushauri kwa wanachuo

DAD'S SON

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
392
Reaction score
466
Ebu dondosha ushauri wako hapa kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu especially wale wanaopewa mikopo ya kimasomo(Ada) na pesa za kujikimu katika kupambana na hali ya maisha yaliopo mtaani watakapomaliza masomo.
 
Watoe asiilimia 10 kumchangia Mange Kimambi kutimiza majukumu ya kulikomboa Taifa hili.
 
Waache kujidanganya eti wao wasomi, wasomi wako mtaaani na kazi zao.
 
Mbona umeng'aka au nawe mmoha wao, hapo ni ushaur sasa kama hawatak hutak ww bas

Mm nilipita fresh na ndio maana naokota vijipesa huku niliko
Kupita fresh hakuhusiana na kuwa na Demu...!! Na wew ndo muwazaa Ngonoo au kuna mwanachuo kakumegea nin broo... Kuwa mpolee
 
Back
Top Bottom