Ushauri kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita 2026; Kama unataka kusomea Ualimu nenda diploma achana na degree

Ushauri kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita 2026; Kama unataka kusomea Ualimu nenda diploma achana na degree

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Nadhani humu Kuna wazazi/walezi watapitia ujumbe wangu.

Kama una mtoto anamaliza kidato cha sita mwaka huu na anataka ajiunge na ualimu mshauri akasome diploma ya ualimu akikataa basi muache. mshauri apitie muongozo wa mtaàla mpya ulioboreshwa atagundua kitu.

KAZI na Utu Tunasonga Mbele 🇹🇿
 
Mkuu, sasa kama umegundua tayari kitu kwenye huo mtaala mpya kwanini usitupashe habari..??
 
Back
Top Bottom