Ushauri kwa wanaJF na Moderators

Ushauri kwa wanaJF na Moderators

STEIN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Posts
1,771
Reaction score
553
Ndugu zangu wanaJF,

Naomba niwasilishe hoja ifuatayo:

Ingekuwa vizuri angalau tukaanza kualikwa watu muhimu katika kujadili ishue hii ya katiba mpya na tukaweza kujadiliana naye kupitia kwenye JF. Hii yote ni katika kuhakikisha kuwa wadau wengi humu wanaelewa mapungufu ya kaba mpya kiundani zaidi.

Na watu wakaendelea kupewa spirit mpaka kieleweke katiba mpya, Kama haitoshi tunaomba watu maarufu, wanasheria etc. wakaweza kualikwa humu JF kwa ajili ya kuhakikisha wanapata mawazo ya wanaJF na kuyafanyia kazi.
 
Back
Top Bottom