Ushauri kwa wanao-BET

Mbayaa zaidi hata izo odd zinachana mkeka muulize barcelona na bayern
 
atl madrid
real madrid
ac milan
juventus


ni nuksi hawa watu
 

Well said mkuu.
 
Betting haina formula mkuu.

Nadhan unaongelea probability hapa, ila betting ni bahat zaid..

Point ndogo mara nyingi zinaniua, juzi liver kashindwa kuwin first half nilikuwa nikiisaka milion 5 kwa elfu 50.. fikiria man u kafa kwa huddersfield..

Siwez weka laki moja nisubiri lakin na kumi, hapo hawajakata kodi yao ya 18% fikiria katika 110k wakikata 18% unabakiwa na nini unabakiwa na pes ndogo kuliko uliyoweka..

Ni vizur kutokuweka mitimu mingi ila kikubwa fanya vile akili yako inavyokutuma na kuamin, kama bahat ni kwako unatusua.. wapo waliokula milion mpaka 30 kwa hzo jero na buku..
 
Kubet hakuna formula. Ila mbinu pekee ni uchache wa timu tu beti timu 4 kuxuka chini. Kama mtu unaweza angalia 2 hadi tatu tu.

Utaliwa leo but kesho utakula
Me binafsi chini ya odd 2 kwa mechi huwa sizipendi.
 
Hv nitajuaje kama ticket yangu ya m-bet imeshinda? Nimecheza perfect 12 jana ila hawaoneshi kama nime lost au nime win.......msaada tafadhali
NB: M-bet App
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…