Ushauri kwa wanaoingia kwenye mahusiano

Ushauri kwa wanaoingia kwenye mahusiano

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Kabla haujaingia kwenye mahusiano jaribu kuupima moyo wako kwa "KUBET KWA PESA YA KODI" (mpe arsenal ushindi, mpe yanga afunge goli 3, mpe man u ushindi at home ground, bayern munich aongoze halafu achomolewe na afungwe kipindi cha pili, muue simba goli 4 hapo kwa mkapa)

Ukiweza hapa, ingia kwenye mapenzi mzima mzima.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Ngono na mapenzi

Wewe hapa unachanganya Mambo

Pesa inaweza kukurahisishia kupata Ngono lakini kwa asilimia kubwa
.lakini inaweza ikafeli kukupatia mpenzi wa kweli
Umenena kweli mkuu
 
Kabla haujaingia kwenye mahusiano jaribu kuupima moyo wako kwa "KUBET KWA PESA YA KODI" (mpe arsenal ushindi, mpe yanga afunge goli 3, mpe man u ushindi at home ground, bayern munich aongoze halafu achomolewe na afungwe kipindi cha pili, muue simba goli 4 hapo kwa mkapa)

Ukiweza hapa, ingia kwenye mapenzi mzima mzima..
Naona umeamka na mirungi hasubuhi hasubuhi
 
Back
Top Bottom