kaka wachumba wanapatikana kwa njia nyingi. Njia kuu nizifutazo 1. Mtaani kwenu, mtaa wa jirani. 2. Shuleni, hasa kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Yaani baada ya form iv au form vi. 3. Kazini. vizuri utafute mchumba wewe mwenye. Unaweza kulengeshwa mtu ambae anamaapenzi na huyo anae kulengesha. Hivyo wakawa wanaendelea na mapenzi ndani ya ndoa yako
yeah! Upo sahihi. Some those who stand there are ordinary girls. Some from your street, college or work place. Marriage is one social institution that one has to be very carefully.lazima ujue, mwanamke unae mtaka awe na sifa gani.kama ikitokea umemkutapale jolly club, au pale buguruni chama, au pale buguruni sokoni, au kakala kigamboni, na anasifa za unazo zitaka, sio haramu kumchukua kama utakua na uhakika kua, atabadilika. (????)