MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,373
- Thread starter
- #21
wapi wanachaguliwa hao wachumba?
kaka wachumba wanapatikana kwa njia nyingi. Njia kuu nizifutazo 1. Mtaani kwenu, mtaa wa jirani. 2. Shuleni, hasa kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Yaani baada ya form iv au form vi. 3. Kazini.
vizuri utafute mchumba wewe mwenye. Unaweza kulengeshwa mtu ambae anamaapenzi na huyo anae kulengesha. Hivyo wakawa wanaendelea na mapenzi ndani ya ndoa yako