Ushauri kwa wanaotarajia kuanza kusoma program za Ualimu 2024

Ushauri kwa wanaotarajia kuanza kusoma program za Ualimu 2024

Mnatushauri nn ss ambao ndo tupo mwaka wa kwanza chuo halaf tunasomea ualim tuache au tufanye nn jmn mbona mnafanya maisha yanakuwa magum mno
 
Upande wangu bora VETA kuliko Ualimu...Mafundi wa Mitambo kama Grader, Excavator na mitambo yabdizain iyo ina uhitaji sana wa mafundi hasa mafund umeme wa iyo mitambo vijana kasomeeni iyo kuliko ualimu ambao hata ukipata ajira mazingira n magumi mno
Inaiteaje hiyo fani niijaze hapa.. maan huu ndiyo muda wa kufanya maombi ya kujiunga VETA kwa mwaka 2025.
 
Back
Top Bottom