Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Sijui PSSF mnaishije, lakini huku NSSF kuna ka offer ka bima ya Afya.. UTT wataweza kutoa hiyo offer?
Pia wangeweka hata mtu aweze kupata mkopo kupitia mafao yako walau hata asilimia kadhaa kwenye 💯
Ila hawawezi fanya hayo bila NRNE
Kwahiyo mtumishi pekee ndio apendelewe kisa ana bima mbili??Mtumishi wa Serikali ana bima ya NHIF haitaji double bima
huwezi kukopea mafao(dunia nzima) mafao hayakopewi sababu wanajua kabisa kuna watu hawatalipa na watastaafu hawana kitu
NSSF na PSSF ni njia ya serikali kuwanyonya wafanyakaziHuu ni Ushauri tu ila najua kwasababu mtu mweusi ni mnyimina mbinafsi hamtaupokea kwasababu unagusa maslahi ya fedha
Ni hivi, Wafanyakazi wa serikali/binafsi wanakatwa pesa yao kila siku kwa ajili ya mafao baada ya kustaafu ila ukweli ni kwamba pesa ile haizalishi chochote kile zaidi ya kutumiwa isivyo halali na taasisi hizo-tuliona jinsi pesa hivyo zilivyopigwa hadi mafao yanakosekana
SASA basi, sasa hivi tuna UTT na takataka kibao za UWEKEZAJI, kwanini watumishi wasiruhusiwe ku "roll over" mafao yao kwenye hizi taasisi za uwekezaji ili wapate faid(kwasababu pesa inakua na kujizalisha) ila wasiruhusiwe kutoa mpaka watakapo staafu.
mtumishi ana 50m ya mafao na bado hajastaafu achukue milioni 40 aweke UTT(mfano) wakati anastaafu atakua na zaidi ya atakachokipata akiweka huko NSSF/PSSF
Nadhan nimeeleweka
Kwahiyo mtumishi pekee ndio apendelewe kisa ana bima mbili??
Hizo hizo NHIF mnazozilalamikia kila siku?
Kivipi? yaani uwekeze utt ufe masikini??? ukiwekeza milioni arobain leo unajua unakua na salio mara zaidi ya serikali itakachokupa ukistaafu hapa umeweka 40m kwa 25years kwa rate ya 10% kwa mwakaHauwatakii mema,unataka watu wastaafu bila senti?