Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Mwanaume kuwa makini zaidi wakati wa kuchagua mwanamke wa kuoa/ kuishi naye.
Tuko katika kizazi ambacho:
1. Wanawake hawakubali makosa yao,mara nying hulaumu juu jinsi wanavyotendewa na wanaume lakini hakuna atakayekubali kumlaumu mwanamke kwa utovu wa nidhamu kwa mwanaume.
2. Ni kizazi ambacho wanawake huathiriwa kwa urahisi na kile kinachotumwa kwenye mitandao ya kijamii.
3. Ni kizazi ambacho wanawake wanasikilizwa zaidi kuliko wanaume,taasisi za kuwatetea ni nyingi. (Kutoka namba 1).
4. Wanaume waliooa kuwa waangalifu.Leo hii nyumba nyingi za kulala wageni zimejaa wanawake walioolewa au wenye wapenzi wanaoishi nao. Wanawake walio kwenye ndoa wanaunda makundi ya whatsap (utasikia kungwi fulani kujiunga 3,000) ili tu kuongelea wapenzi wao na jinsi ya kuwaburudisha.
5. Wakiwa na vyanzo vya uhakika vya mapato wengi wao wanajiita Supa wumeni,waanza kutowaheshimu waume zao. Mara nyingi huona raha kuongea vibaya kuhusu ndoa wanapokuwa na marafiki.
Kijana kuwa mwangalifu unapochagua mke/mwanamke wa kuishi nae.
1. Fanya utafiti uone jinsi mama na dada zake wanavyo behave.
2. Angalia jinsi baba yake anavyotendewa na mama yake kama bado yu hai.
3. Angalia tabia za rafiki zake.
Fanya angalau ujue mtu unayetaka kumfanya mke/kuishi nae ni mtu mzima kiasi gani, yuko serious na mwenye mpangilio.
Inaishia hapa.