Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Mtawaua bure kwa wivu wa kijinga...Jamani mbona kama mna wivu kuelekea pisi kali...hamtaki tuwaoe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtawaua bure kwa wivu wa kijinga...Jamani mbona kama mna wivu kuelekea pisi kali...hamtaki tuwaoe
Wewe ata sura lersonal bado wanatombwer tuu....so wacha tuoe pisi kali...kama kutombewa demu kitu gani cha ajabu hapoMtawaua bure kwa wivu wa kijinga...
Hapa bibie naona umehalalisha ujinga kwa Wanawake wazuri. Kauli yako haijatimia mwanamke mzuri ambaye hans tabia nzuri na hajielewi hafai, kadhalika mwanamke mwenye tabia mbaya naye hafai kuolewa.Kama unajua unawivu usioe nwanamke mzuri..
Mwanaume kuwa makini zaidi wakati wa kuchagua mwanamke wa kuoa/ kuishi nae.
Tuko katika kizazi ambacho:
1. Wanawake hawakubali makosa yao,mara nying hulaumu juu jinsi wanavyotendewa na wanaume lakini hakuna atakayekubali kumlaumu mwanamke kwa utovu wa nidhamu kwa mwanaume.
2.Ni kizazi ambacho wanawake huathiriwa kwa urahisi na kile kinachotumwa kwenye mitandao ya kijamii.
3.Ni kizazi ambacho wanawake wanasikilizwa zaidi kuliko wanaume,taasisi za kuwatetea ni nyingi. (Kutoka namba 1).
4.Wanaume waliooa kuwa waangalifu.Leo hii nyumba nyingi za kulala wageni zimejaa wanawake walioolewa au wenye wapenzi wanaoishi nao. Wanawake walio kwenye ndoa wanaunda makundi ya whatsap (utasikia kungwi fulani kujiunga 3,000) ili tu kuongelea wapenzi wao na jinsi ya kuwaburudisha.
5.Wakiwa na vyanzo vya uhakika vya mapato wengi wao wanajiita Supa wumeni,waanza kutowaheshimu waume zao. Mara nyingi huona raha kuongea vibaya kuhusu ndoa wanapokuwa na marafiki.
Kijana kuwa mwangalifu unapochagua mke/mwanamke wa kuishi nae.
1.Fanya utafiti uone jinsi mama na dada zake wanavyo behave.
2.Angalia jinsi baba yake anavyotendewa na mama yake kama bado yu hai.
3.Angalia tabia za rafiki zake.
Fanya angalau ujue mtu unayetaka kumfanya mke/kuishi nae ni mtu mzima kiasi gani, yuko serious na mwenye mpangilio.
Inaishia hapa.
Kwa nadra saaaaana.Hapo kwenye namba 1,Kuna point ingawa asiye na ufahamu zaidi anahitaji maelezo ya ziada,kifupi ni kuwa mama na dada zake ni picha tosha ya mkeo jinsi atakavyokuwa,ingawa mara chache sana hutokea akawa tofauti nao...
Feminism did this, only feminism can fix it.Tuko katika kizazi ambacho:
1. Wanawake hawakubali makosa yao,mara nying hulaumu juu jinsi wanavyotendewa na wanaume lakini hakuna atakayekubali kumlaumu mwanamke kwa utovu wa nidhamu kwa mwanaume.
2. Ni kizazi ambacho wanawake huathiriwa kwa urahisi na kile kinachotumwa kwenye mitandao ya kijamii.
3. Ni kizazi ambacho wanawake wanasikilizwa zaidi kuliko wanaume,taasisi za kuwatetea ni nyingi. (Kutoka namba 1).
4. Wanaume waliooa kuwa waangalifu.Leo hii nyumba nyingi za kulala wageni zimejaa wanawake walioolewa au wenye wapenzi wanaoishi nao. Wanawake walio kwenye ndoa wanaunda makundi ya whatsap (utasikia kungwi fulani kujiunga 3,000) ili tu kuongelea wapenzi wao na jinsi ya kuwaburudisha.
5. Wakiwa na vyanzo vya uhakika vya mapato wengi wao wanajiita Supa wumeni,waanza kutowaheshimu waume zao. Mara nyingi huona raha kuongea vibaya kuhusu ndoa wanapokuwa na marafiki.
Mwanamke hauwezi kumfundisha mwanaume jinsi ya kuwa mwanaume, because you don't know what it take to be a man.Mwanaume kama hauna akili ni hauna tu hata uoe nani.