Ushauri kwa wanaume juu ya mwanamke wa kufanya naye maisha

Kama unajua unawivu usioe nwanamke mzuri..
Hapa bibie naona umehalalisha ujinga kwa Wanawake wazuri. Kauli yako haijatimia mwanamke mzuri ambaye hans tabia nzuri na hajielewi hafai, kadhalika mwanamke mwenye tabia mbaya naye hafai kuolewa.

Sisi tumehimizwa tuoe katika wanawake ambao tuna wapenda, ils tunasngalia tabia, wengine sisi tunapenda vizuri sana ila vyenye tabia nzuri.
 
KILA mwanaume uoa mwanamke anaefaa sema wakishaingia kwenye ndoa ubadilika,
 
Lengo kuu la tamthilia zote za mapenzi ni kubomoa ndoa ziwe za kiswahili, kiingereza, kikorea, au lugha yoyote za Nigeria, Tanzania, Korea, Ulaya,nk maudhui ufanana, nyuma ya tamthilia zote yupo darksider kama alivyo kwenye katuni ajenda kuu ni kuhakikisha mwanamke asiwe na utii, heshima,maadili ya ndoa Ili familia isambaratike walengwa wakuu ni watoto Ili wakose malezi ya pande mbili Ili waharibike kimaadili.
 
Kuna watu bado huwa wanafkiria kuoa tu kizazi hiki. Ndoa za kudumu miezi tu.
Poleni sana.
 
 
Basi sasa kila mmoja kageuka mshauri nasaha, hakuna jipya acheni kutishana.
 
Hapo kwenye namba 1,Kuna point ingawa asiye na ufahamu zaidi anahitaji maelezo ya ziada,kifupi ni kuwa mama na dada zake ni picha tosha ya mkeo jinsi atakavyokuwa,ingawa mara chache sana hutokea akawa tofauti nao...
Kwa nadra saaaaana.
 
Feminism did this, only feminism can fix it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…