Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Tunatakiwa kutambua kuwa viumbe KE hata wafanyiwe kitu gani hawaridhiki.
Jambo la kufanya ni ku-focus na maisha yako, jipende, kula bata, jali watoto wako (kama unao).
Wanaume tunakufa mapema kutokana na stress za wake zetu, kelele nyingi, kuchapiwa n.k Ili tuishi maisha marefu tu-focus na maisha yetu kwanza. Wengine watasema ni ubinafsi lakini hakuna kiumbe kibinafsi kama mwanamke.
Kama ni mbususu zipo za kumwaga na bei chee, piga shoo, stress weka pembeni, songesha maisha.
Mtakaonielewa see you at 100 yrs.