Ushauri kwa waokozi kariakoo!

Ushauri kwa waokozi kariakoo!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Kutokana na kuwa jengo kwa ujumla lipo katika hali ya hatari sana, hasa kutokana na uwezekano wa kuweza kuporomoka na kuleta maafa, Nawashauri waje nje kwenye mlango mkuu wa jengo, wachimbe Tundu la mraba kushuka chini, katika urefu wa mita 6-7, halafu waanze kwenda mbele usawa wa lango kuu kuingia ndani ya jengo, huku wakitumia mashine za kutobolea zege, na vifaa vyenye msaada ili waweze kufikia kwenye corridor za chumba hadi chumba, unless muda unavyozidi kwenda......@#$&$#@%
MUNGU ATUSIMAMIE
 
Lango kuu wakati lango kuu ndo linaangliana na uwazi uliojazwa kifusi kutokea juu. Pale wachimbe pembeni ya jengo ili watu wawatoe nyuma ya frem zao. Kama kuna mtu alibakia katikati usawa wa lango kuu pale hawez kukutwa mzima wala kasimama.

Hujanielewa, what I give out is a technical suggestion, wasogeze kifusi wachimbe kwenda chini Tundu la meter 2 kwa meter 2, then wasonge mbele kuingia ndani ya jengo!
 
Back
Top Bottom