Mondi angekuwa na mawazo kama hayo leo hii asingefungua label.Wakue wamzidi Mond?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu tuliza wengeUnashauri wezi, washirikina wanaoamini nguvu za Giza, chuki wivu nk, hiyo wasafi festival ipo wapi, wanasubilia fiesta watangaze nao ndio waanze si ujinga huo,
Hii tz kubwa Fanya biashara achia wenzako wafanye biashara,
Unajua mungu mtu wa ajabu sana huwezi shindana na mzazi wako hata kama alikufanyia mambo ya ajabu haina budi uheshimu sasa WCB wanachotaka kwa Clouds media watakipata cause Clouds media ni kama baba yao
Ahahahahahahahhah mkuu acha ukorofiKugrow binger ndio kitu gani mkuu
Kama ni mwanamke sawa ila kama ni mwanaume ebu kajichungulie vizuri haiwezekani unalalamika hivyo kama una mimba changaUnashauri wezi, washirikina wanaoamini nguvu za Giza, chuki wivu nk, hiyo wasafi festival ipo wapi, wanasubilia fiesta watangaze nao ndio waanze si ujinga huo,