USHAURI KWA WASAFI: Hii Idea Mnaionaje?

USHAURI KWA WASAFI: Hii Idea Mnaionaje?

Unashauri wezi, washirikina wanaoamini nguvu za Giza, chuki wivu nk, hiyo wasafi festival ipo wapi, wanasubilia fiesta watangaze nao ndio waanze si ujinga huo,

Hii tz kubwa Fanya biashara achia wenzako wafanye biashara,

Unajua mungu mtu wa ajabu sana huwezi shindana na mzazi wako hata kama alikufanyia mambo ya ajabu haina budi uheshimu sasa WCB wanachotaka kwa Clouds media watakipata cause Clouds media ni kama baba yao
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu tuliza wenge
Relax maana sio kwa chuki hizo
 
Unashauri wezi, washirikina wanaoamini nguvu za Giza, chuki wivu nk, hiyo wasafi festival ipo wapi, wanasubilia fiesta watangaze nao ndio waanze si ujinga huo,

Hii tz kubwa Fanya biashara achia wenzako wafanye biashara,

Unajua mungu mtu wa ajabu sana huwezi shindana na mzazi wako hata kama alikufanyia mambo ya ajabu haina budi uheshimu sasa WCB wanachotaka kwa Clouds media watakipata cause Clouds media ni kama baba yao
Kama ni mwanamke sawa ila kama ni mwanaume ebu kajichungulie vizuri haiwezekani unalalamika hivyo kama una mimba changa
 
Mzee wa kuchonga kinyago hatokubali hii idea ya non-profit, yeye anataka kuwanyonya tu wasanii mpaka watoke ngozi
 
Back
Top Bottom