kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Wasanii wabongo wasipofungua akili wataishia kwenda mahakamani kuvunja ndoa nakugawa riziki kidogo waliyojaaliwa
Nimemwona Ben Pol, nakumbuka kisa Cha Kiba, Hawa ni baadhi ya watu walioa kabla yakufungua macho kuona Nini Tafsiri ya ndoa
Naomba wasanii msikurupuke kuoa, wanawake wanawaza mlichonacho kwa maana umaarufu na Mali si mapenzi. Kibaya zaidi mnakimbilia kucheza mechi zakimataifa ambazo mnapigwa home and away. Wanawake wa nchi jirani msidhani niwamchezo mchezo, wanatambua wizi wakisheria. Tunawaonea huruma