Mgumu04
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,940
- 1,055
ikiwa mchakato unaendelea tcu na heslb siku matokeo yakitoka kuna watu watakuwa na furaha kwa kupata chuo na mkopo na huzuni kwa waliokosa mkopo.
mimi napenda kuwashauri kwa wote mtakao kosa mnaweza andika barua za kuahirisha mwaka wa masomo ili kutafuta ada au kukaa na familia ili kuchangishana fedha.
kingine kuwa makini na taasisi ambazo zitajitangaza kwamba wanafadhiri wanafunzi wa elimu ya juu maana kuna watu wamelizwa kwa utaperi.