Usinipite mwokozi
Member
- Feb 14, 2021
- 60
- 59
Hahahahahaaaa, mama watoto Bushmamy umeona hiyooo?Utamkuta mtu yuko pekee yake ndani ya gari
Kavaa barakoa full kiyoyozi
Ova
AISE KWELI
HOFU NI UGONJWA MBAYA SANA
Labda wewe utakuwa mhanga wa AC. Au unatumiwa na mabeberu.JF siku hz imepata members wanaokurupuka Kama mtoa mada (ndio thread ya kwanza kupost unaongeaga pumba hv)
Wee kumbe haujielewi ee?Labda wewe utakuwa mhanga wa AC. Au unatumiwa na mabeberu.
Km wewe unajua basi nijibu swari hili.
kwanini wahanga wengi wa c.19 niwatu wenye madaraka ya juu , matajiri, nawatu wa kishua?
km upo dar, niambie hapo ubungo niwapiga debe au walala hoi wangapi wamekufa wakati ndo wapo mazingira hatarishi wakisaka mkate wao wakila siku?
niambie kule kijijini kwenu mwasinasi simiyu niwazee wangapi wanachomoka pamoja nakula vipolo bila kusahau tumbaku, gongo nk.?
niambie niwazee wangapi maeneo ya mjini wanaochomoka ambao wanaonekana ni wazee wakishua wazee wa nyumba za vioo na kula chips?
..................................................
Nilifikiri utanijibu.Wee kumbe haujielewi ee?
Watanzania wenzangu, nawashauri kwa wale wanaopendelea kutumi viyoyozi pahala pa kazi, nyumbani, na ndani ya magari, MUACHE MARA MOJA.
Tukumbuke kuwa ugonjwa wa covid-19 bado upo na tunahizwa kujikinga nao, pamoja na hatua zote tunazoelekezwa kuchukua, nimeonelea niwape na hii ya viyoyozi kuachana nayo.
Huu ugonjwa unaathiri mifumo ya hewa kwa mujibu wa wataalam wetu wa wizara ya afya.
Na moja ya adui mkubwa wa mifumo ya hewa ni pamoja na viyoyozi, ndio maana waathirika wakubwa ni wazee na wagonjwa ambao tayari kinga zao zinakuwa zimeshuka.
Lakini pia, waathirika wengine wakubwa niwatumiaji wa viyoyozi kwa mda mrefu, kwa maana ya akiwa nyumbani ni viyoyozi maana nyumba ni ya vioo, akipanda gari full AC, akiwa ofisini ni full kiyoyozi. Kila sehem ni full kiyoyozi, hii ni hatari ndg zangu.
Naomba kuwasilisha kwa mjadala zaidi.
by Usinipite mwokozi.
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14] afu we jamaaVipi kuhusu feni Pangaboi?
Wengine utakuta labda alikuwa kawapa lift watu wake wa karibu na kuwashusha mahali flani kabla wewe hujamuona na kaamua kuendelea kuvaa barakoa kuzuia kirusi in an event abiria mmojawapo kakiacha humo ndaniUtamkuta mtu yuko pekee yake ndani ya gari
Kavaa barakoa full kiyoyozi
Ova
Yaani hata mm huwa nawashangaaUtamkuta mtu yuko pekee yake ndani ya gari
Kavaa barakoa full kiyoyozi
Ova
Kitu ambacho nahisi mtoa mada haukifahamu ni hivi:-mada ya kipumbavu kabisa, vipi waishio kwenye sehem za baridi mathalan Mbeya ?
Vipi kuhusu feni Pangaboi?
Nilifikiri utanijibu.
Covid-19 hustawi zaidi kwenye mazingira ya baridi.Maneno ya vijiweni hayo. Hakuna ushahidi wa kisayansi wa AC na COVID
The level of ignorance you have!!!!Huwa najiuriza chanzo cha viyoyozi badara ya hewa inayochujwa na majani ya miti au mawimbi ya maji ambayo mungu alitupa kuitumia nasisi tukatengeneza hewa yetu.