Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
Ungeambatanisha na ushahidi wa kisayansi au source tuelewe kiupana zaidi na hatua zianze kuchukuliwa ofisi zote bongo zingolewe hayo madude tupambane na joto.
Umeongea kisoma ni kweli navyojua kuna kitu kinaitwa vasodilation and vasoconstriction .Kitu ambacho nahisi mtoa mada haukifahamu ni hivi:-
Mabadiliko ya joto la nje ya mwili haliusiani na la ndani ya mwili hata na baridi hivyo hivyo.
Mfano:- joto lako la ndani la mwili ni 30°c hata ukae jikoni au juani haiwezi badilisha na kupanda kufikia mpaka 37°c.
Hivyo basi kuhusanisha kati ya baridi la AC na baridi la ndani ya mwili ni ufinyu wa elimu.
Yaani hapa ni sawa na mgonjwa wa homa alafu useme ukamkogeshe maji ya barafu ili joto lipungue sio kweli.
hapana hujamwelewa mtoa mada, labda nkuulize ulishawahi kuvuta hewa inayotokana na A.C ni nyepesi au ni nzito.mada ya kipumbavu kabisa, vipi waishio kwenye sehem za baridi mathalan Mbeya ?
Tatizo lipo kwenye uzito wakeHebu tupe sababu za kisayansi jinsi hiyo AC inavyoathiri mfumo wa hewa...
hakuna hewa inayotokana na AC, AC haizalishi hewa, AC ina 'condition' hewa ileile iliyo kwenye chumbainayotokana na A.C
Yeah uko right.hakuna hewa inayotokana na AC, AC haizalishi hewa, AC ina 'condition' hewa ileile iliyo kwenye chumba
Maneno ya vijiweni hayo. Hakuna ushahidi wa kisayansi wa AC na COVID
Watanzania wenzangu, nawashauri kwa wale wanaopendelea kutumi viyoyozi pahala pa kazi, nyumbani, na ndani ya magari, MUACHE MARA MOJA.
Tukumbuke kuwa ugonjwa wa covid-19 bado upo na tunahizwa kujikinga nao, pamoja na hatua zote tunazoelekezwa kuchukua, nimeonelea niwape na hii ya viyoyozi kuachana nayo.
Huu ugonjwa unaathiri mifumo ya hewa kwa mujibu wa wataalam wetu wa wizara ya afya.
Na moja ya adui mkubwa wa mifumo ya hewa ni pamoja na viyoyozi, ndio maana waathirika wakubwa ni wazee na wagonjwa ambao tayari kinga zao zinakuwa zimeshuka.
Lakini pia, waathirika wengine wakubwa niwatumiaji wa viyoyozi kwa mda mrefu, kwa maana ya akiwa nyumbani ni viyoyozi maana nyumba ni ya vioo, akipanda gari full AC, akiwa ofisini ni full kiyoyozi. Kila sehem ni full kiyoyozi, hii ni hatari ndg zangu.
Naomba kuwasilisha kwa mjadala zaidi.
by Usinipite mwokozi.

Nimepitia leo stand moja ya mabasi, vijana wote ambao nawajua ni full kujiachia , hawajui cha corona wala kipindupindu wapo wanagonga KITOKO saa24/7
Nikajiuliza kwanini wahanga wakubwa ni watu wakubwa? Watu wenye fedha? Wazee na wagonjwa?
Nikagundua niyale maisha yakutengeneza badara ya maisha tuliyoumbiwa.
Huwa najiuriza chanzo cha viyoyozi badara ya hewa inayochujwa na majani ya miti au mawimbi ya maji ambayo mungu alitupa kuitumia nasisi tukatengeneza hewa yetu.
Hili nipigo kubwa kwa watu wanaojiona wanapesa au wapo daraja la juu.
Walala hoi stand na masokoni wapo wanapiga kazi, mashambani wazee wetu wanakula viazi na viporo vya ugari wapo wanagonga tumbaku km kawa.
Vipi, unawashaurije wanaoishi kwenye maeneo yenye baridi! Wafunge heater?[emoji848]Watanzania wenzangu, nawashauri kwa wale wanaopendelea kutumi viyoyozi pahala pa kazi, nyumbani, na ndani ya magari, MUACHE MARA MOJA.
Tukumbuke kuwa ugonjwa wa covid-19 bado upo na tunahizwa kujikinga nao, pamoja na hatua zote tunazoelekezwa kuchukua, nimeonelea niwape na hii ya viyoyozi kuachana nayo.
Huu ugonjwa unaathiri mifumo ya hewa kwa mujibu wa wataalam wetu wa wizara ya afya.
Na moja ya adui mkubwa wa mifumo ya hewa ni pamoja na viyoyozi, ndio maana waathirika wakubwa ni wazee na wagonjwa ambao tayari kinga zao zinakuwa zimeshuka.
Lakini pia, waathirika wengine wakubwa niwatumiaji wa viyoyozi kwa mda mrefu, kwa maana ya akiwa nyumbani ni viyoyozi maana nyumba ni ya vioo, akipanda gari full AC, akiwa ofisini ni full kiyoyozi. Kila sehem ni full kiyoyozi, hii ni hatari ndg zangu.
Naomba kuwasilisha kwa mjadala zaidi.
by Usinipite mwokozi.
Hahaha, mtu uko peke yako kwenye gari au upo na mkeo alafu unavaa barakoa! Barakoa ni sehemu za mikusanyiko sio kujibana pumzi kila sehemu. Dah [emoji38]Utamkuta mtu yuko pekee yake ndani ya gari
Kavaa barakoa full kiyoyozi
Ova