Ushauri kwa Watanzania wanaotumia viyoyozi (air conditioners) kwenye magari, maofisini na majumbani

Ungeambatanisha na ushahidi wa kisayansi au source tuelewe kiupana zaidi na hatua zianze kuchukuliwa ofisi zote bongo zingolewe hayo madude tupambane na joto.
 
Umeongea kisoma ni kweli navyojua kuna kitu kinaitwa vasodilation and vasoconstriction .
 
Walioziweka AC kwenye magari na kubuni AC za majengo waliona mbali sana.Acha kuwa na fikra finyu.
 
Upo sahihi San mkubwa
 
We hata hujaeleza madhara ya AC. Utopolo mtupu na watu wanachangia tu ujinga
 

Nani kakuambia hayo Mambo hapo juu, Ni nadharia tu zisizo na ushaidi wakisayansi
 
MKOANI sawa...huku jijini unawezaje kaa ofisini bila ac
 

Badara=badala
Najiuriza=najiuliza
mungu=Mungu
Ugari=Ugali

Jielekeze kuandika kwa ufasaha; na ni vema ukahariri post yako kabla ya kuituma.

Ni ushauri tu
 
Vipi, unawashaurije wanaoishi kwenye maeneo yenye baridi! Wafunge heater?[emoji848]
 
Utamkuta mtu yuko pekee yake ndani ya gari
Kavaa barakoa full kiyoyozi

Ova
Hahaha, mtu uko peke yako kwenye gari au upo na mkeo alafu unavaa barakoa! Barakoa ni sehemu za mikusanyiko sio kujibana pumzi kila sehemu. Dah [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…