Ushauri kwa watu wote walioajiriwa

Tuchape kazi mkuu wala usiwasikilize hawa waliokosa ajira. Wanatamani wazee tustaafu mapema labda watapata nafasi. Nina madogo sasa wawili wako chuo mkopo serikali ya mama yenu imegoma kuwapa pamoja na kusoma kozi za kipaumbele. Na mimi niko karibu na wewe na nitastaafu miaka kama mitatu ijayo. Mpaka dakika hii sina cha kupoteza kuendelea kuwamo kazini!
 
Uoga wa maisha mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…