Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Tunawapongeza sana, wala hatuwabezi kuhusu royal tour. lilikuwa ni wazo na tukio lenye nia njema kwa nchi yetu, hasa kwa kumtumia mama yetu ambaye wengi wangependa kumsikiliza au kumuona, ni bidhaa adimu ambayo unaweza kuitumia kama nyenzo ya kuiuza Tanzania. lakini, baada ya hapo, napendekeza (though sijui terms and conditions za mkataba na Peter), yafuatayo:-
1. Tuchague nchi kadhaa za ulaya,Asia na Marekani. Mfano: USA,Canada,Ujerumani, Ufaransa, Italia,spain,portugal,Scandinavian countries, japan,china singapore.
2. Kwenye nchi hizo,tuangalie raia wa kawaida tu ambao wana followers wengi youtube,facebook,snapchat etc.
3. Tuselect wale wenye followers kuanzia milioni 5 au milioni 10 na kuendelea. wachache tu, tuwape kazi ya kututangaza kwa followers wao.
4. Tunaweza kutengeneza movie ingine kama peter hiyo ameilinda, na tuwapatie watusambazie.
Kwa namna hiyo na kwa utani utani tu hivyo unaweza kukuta tumepata watu wengi wanaopenda kutembelea Tanzania. hatuna haja ya kutumia watu maarufu wa kibongo kwasababu hao followers wao ni wabongo, tupate wenye followers toka kwenye nchi zenye desturi ya kutalii. Ulaya magharibi, america na asia.