Ushauri kwa waziri wa utamaduni kuhusu derby kati ya Simba na Yanga

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Mhe. Waziri ili Dabi iweze kurudiwa tena Washauri TFF na Bodi ya Ligi WAJIUZULU mara moja na baada ya hapo utaona Yanga watakubali kurudi kucheza hiyo dabi vinginevyo Yanga hawatakubali kucheza tena.
 
Kama Yanga wanaweza kushinikiza TFF na bodi ya ligi kuvunjwa Simba watakubaliana na jambo hilo?
 
si waligomea mechi sasa kama walivua nguo lazima waoge tu hata kama maji ni yamoto vipi...🤣
 
Back
Top Bottom