Ushauri kwa WCB (Wasafi)

Maelau

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,366
Reaction score
1,342
Hivi karibuni kumeibuka tabia ya hawa wasanii kuwaimbisha watu waliotoa viingilio vyao kwenda kuwaangalia wakiperform kwenye stage.

Binafsi naiona hii tabia kama kero na dhuluma kwa mashabiki na zaidi ya yote inapoza show kabisa pale wanapokuwa wakikata sauti ya vyombo na kuanza kuwafundisha watu kuimba.

Mfano mzuri tembelea youtube uone Mbosso alivyoperform Muleba.

Tuwashauri wabadilike jamani. Au ninyi mnaonaje?

NB: Kwenye festival yao ya mwisho Nairobi, suala hili lilipondwa sana na mashabiki wa kule.

Je, ni kwanini hawataki kubadilika?
 
Mashabiki ndio wana vibe sijaona msanii anamlazimisha msanii kuimba Bali mashabiki wanakuwaga na vibe na feel na wimbo wa msanii mfano show ya Tabora diamond amemaliza tu kuimba wimbo wake wa kanyaga Mara mashabiki wakaanza kuimba ule wimbo wote je hapo utamlahumu msanii au mshabiki?Kuna vitu mtoa mada unatakiwa ujiongeze.
 
Maskini mhhh naona jamaa nae kaenda selfika na future hubby wa wema
#pichainaongeamengi
 
Wameshakusikia next time wakifanya show haendi mtuu
 
Shida watu wanna vibe.. afu lazima msanii afanye ivo I'll kuona how his/her fans they feel him/her Au walivyo upokea wimbo husika.
Sawa lakini kuna kipindi unaona kabisa msanii akiwalazimisha mashabiki kuimba bila utayari wao. Na hapo unasemaje?
 
Wasafi Ndo Zao Kuimbisha Watu Kila Saa Inakuwa Sio Fresh! Kama Vibe Limepanda Wataimba Wenyeweee!
Sio Unawafosi Waimbe
 
Kweli kabisa. Waende waimbe. Kama kuwaimbisha iwe dakiki moja tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…