Hivi karibuni kumeibuka tabia ya hawa wasanii kuwaimbisha watu waliotoa viingilio vyao kwenda kuwaangalia wakiperform kwenye stage.
Binafsi naiona hii tabia kama kero na dhuluma kwa mashabiki na zaidi ya yote inapoza show kabisa pale wanapokuwa wakikata sauti ya vyombo na kuanza kuwafundisha watu kuimba.
Mfano mzuri tembelea youtube uone Mbosso alivyoperform Muleba.
Tuwashauri wabadilike jamani. Au ninyi mnaonaje?
NB: Kwenye festival yao ya mwisho Nairobi, suala hili lilipondwa sana na mashabiki wa kule.
Je, ni kwanini hawataki kubadilika?