Ushauri kwa wenye ngozi kavu

Ushauri kwa wenye ngozi kavu

neophyte

Member
Joined
Oct 21, 2018
Posts
79
Reaction score
22
Je, ngozi kavu ni nini?

Ngozi kavu ni ugonjwa unaotokana na ngozi kukosa unyevunyevu wake na kupelekea ngozi kuwa kavu. Tatizo hili lina visababishi vingi ila
kwa leo nitavizungumzia vichache.

VISABABISHI VYA NGOZI KAVU
1. Kukosekana kwa mlo kamili
2. Matumizi ya vipodozi vinavyo chubua ngozi
3. Matumizi ya kemikali zinazo kausha ngozi
4. Kutopaka mafuta
5. Kushinda juani kwa muda mrefu
6. Mwili kukosa maji

ATHARI ZA KUWA NA NGOZI KAVU
- Uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa ya ngozi
- Kupata maumivu makali ya ngozi
- Kupata vidonda kwa urahisi na hata kupelekea kansa ya ngozi
- Kuzeeka haraka kabla ya wakati
- Kupata makunyanzi
- Ngozi kufubaa
- Ngozi kukosa mvuto.

MATIBABU NA KINGA
Kama hauna hili tatizo unahitaji kujikinga nalo. maelezo yafuatayo yanaainisha njia za kujikinga na ukavu wa ngozi.

1. Kutumia mafuta na sabuni mahsusi kwa ajili ya kuondoa ukavu wa ngozi pamoja na athari za kuchomwa na jua sabuni hii inaitwa OLIVE OIL SOAP REPAIR
2. Kunywa maji ya kutosha
3. Kupata mlo kamili
4. Kuufunika mwili pindi tuwapo juani

OLIVE OIL REPAIR SOAP
Kutumia sabuni hii ni bora na afadhali kwa kutibu na kukjikinga na tatizo hili. kwa kua hii sabuni ni sabuni ya asili na imetengenezwa kwa ajili ya ngozi kavu. inauzwa kwa tsh 9000 tu kuipata piga 0769103506

'kila mtu ana ngozi nzuri na yenye kuvutia boresha muonekano wako na OLIVE OIL REPAIR SOAP"

IMG-20181105-WA0006.jpg
 
Labda Wanafanya Kazi Kwenye Kiyoyozi
 
Je unasumbuliwa na mapunye au chunusi za mda mrefu?

Basi solution lako ni shaza soap,sabuni kutoka burundi ambazo zimetengenezwa kutoka nchini burundi zenye mchanganyiko wa flavour ya lemon,zenye uwezo wa kuondoa chunusi na hata madoa sugu ya muda mrefu,miwasho na hata mapele

Pia huwafaa pia kwa wale wenye ngozi zenye mafuta mengi kwani hunyonya mafuta na kukuacha mkavu,na ni nzuri pia kwa watoto sababu humkinga na maambukizi ya bacteria hatari,zinapatikana kwa bei ya shilingi elf 2 tu ,na kwa katoni nzima zipo 36,nauza kwa elf 60 tu ni original nimetoka nazo burundi moja kwa moja

Karibu nikuletee mpka ulipo
0659756647 whatsapp

0623953036 piga
 
Back
Top Bottom