Ushauri kwa Yanga kuhusu usajili wa Msuva

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Nimesoma kupitia mitandao kuwa Yanga wanataka kumsajili Simon Msuva. Ushauri wangu kwa Yanga kuwa waachane na Msuva. Mpira wake umekwisha. Msuva umri umeenda. Waendeee kumwamini Skudu ni mchezaji mzuri na hatari. Hakuna haja kumtosa Skudu.
 
Skudu hatoswi.......
 
Hahahaha [emoji1787][emoji1787] akisajiliwa Utopolo wajiandae kwa kesi CAS maana jamaa mpira umekwisha sasa anacheza kwenye korido za kortini
 
Back
Top Bottom