Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Alivuta halafu akaingia uwanjan kucheza?Nazani huu ndo mwanya wa kumalizana na Morrison bila gharama ya kuvunja mkataba.Kwani kama ni kweli jamaa kakutwa akila green leaf au cha Arusha ukipenda, basi hii ndo fimbo ya kummaliza.Sheria za TFF na FIFA ziko wazi endapo mchezaji atathibitika kutumia dawa za kulevya anaweza kufungiwa hadi miaka2 na zaidi.
Hivyo ni vema Yanga waliombe jeshi la polisi kwa kushirikiana na mkemia mkuu wa serikali wampime Morrison na majibu yake yapelekwe TFF ili wamalizane nae aende zake kwao tumemchoka.
Manyani fc kwenye ubora wenu, sasa pale Yanga wakisema muwapime wachezaji wenu si wote watafungiwa kwa kula bangi? Acha kuropoka vitu usivyovijuaNazani huu ndo mwanya wa kumalizana na Morrison bila gharama ya kuvunja mkataba.Kwani kama ni kweli jamaa kakutwa akila green leaf au cha Arusha ukipenda, basi hii ndo fimbo ya kummaliza.Sheria za TFF na FIFA ziko wazi endapo mchezaji atathibitika kutumia dawa za kulevya anaweza kufungiwa hadi miaka2 na zaidi.
Hivyo ni vema Yanga waliombe jeshi la polisi kwa kushirikiana na mkemia mkuu wa serikali wampime Morrison na majibu yake yapelekwe TFF ili wamalizane nae aende zake kwao tumemchoka.
Wamlipeje wakati mwenyewe anadai hana mkataba. Huyo ni wa kumfungia vioo tu baasiWhy wasimlipe chake yaishe?
Mo mwenyewe anachoma mahigh gradeManyani fc kwenye ubora wenu, sasa pale Yanga wakisema muwapime wachezaji wenu si wote watafungiwa kwa kula bangi? Acha kuropoka vitu usivyovijua