Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Nazani huu ndo mwanya wa kumalizana na Morrison bila gharama ya kuvunja mkataba.Kwani kama ni kweli jamaa kakutwa akila green leaf au cha Arusha ukipenda, basi hii ndo fimbo ya kummaliza.Sheria za TFF na FIFA ziko wazi endapo mchezaji atathibitika kutumia dawa za kulevya anaweza kufungiwa hadi miaka2 na zaidi.
Hivyo ni vema Yanga waliombe jeshi la polisi kwa kushirikiana na mkemia mkuu wa serikali wampime Morrison na majibu yake yapelekwe TFF ili wamalizane nae aende zake kwao tumemchoka.
Hivyo ni vema Yanga waliombe jeshi la polisi kwa kushirikiana na mkemia mkuu wa serikali wampime Morrison na majibu yake yapelekwe TFF ili wamalizane nae aende zake kwao tumemchoka.