Satuuuu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,849
- 1,993
Hivi karibuni tumeskia kuwa timu ya mpira wa miguu Yanga wameomba kutumia uwanja wa Amani Zanzibar. Wandugu mnaonaje tukiwashauri waombe kutumia uwanja wa Jamhuri Dodoma? Hasa ktk kipindi hiki ambapo shughuli za Selikari zinahamia Dodoma.
My take
Burudani ni sehemu ya maisha so waheshimiwa wanaitaji hii burudani kwa ukaribu zaidi.
My take
Burudani ni sehemu ya maisha so waheshimiwa wanaitaji hii burudani kwa ukaribu zaidi.