Foxhunters
Senior Member
- Nov 25, 2019
- 160
- 108
Palizi nimeweka vibarua leoNyanya inahitaji usafi ndugu. Zao lolote likizungukwa na magugu lazima libadili rangi achilia mbali magonjwa
1.Namwagilia maji kila baada ya siku Tano.1. Je unamwagilia maji ya kutosha? Kama hapana yawezekana ikawa ndio sababu.
2. Kama unamwagilia maji ya kutosha, je umeweka mbolea yenye madini ya calcium lini? Kama hujaweka jitahidi uweke mbolea ya CAN au yoyote yenye madini ya calcium.
3. Weka shamba lako katika hali ya usafi muda wote.