DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
African mentality of dependency has affected u greatlyatakua kamfanya babake dondocha sio bure...unamiliki rolls royce $450,000 babako hana ht bajaji...shubaakengemiti!!
Sent using Jamii Forums mobile app
mh kumbe faza town kitamboo ehnamkumbuka huyu baba diamond walipouza nyumba ya urithi kariakoo alivyokuwa mtu wa bata sana, anadrive landcruiser huku mama diamond na mtoto wake diamond wanashinda njaa, hakuwasaidia chochote!
Kwanni Mzee Abdul Hana wazazi wamsaidie ?mama ndo final say kama mama yey angemshauri atoe msaada ange fanya ivy .lkn kama huoni effort zozote zile jua mkono wa bi sandra upo ndan
Amshukuru wakati Mzee Abdul naye aliienjoy ? Kama Ana mbegu Bora kwann hasiende kupanda kwengine ili apate matundayule mama anapaswa kumshukuru sana mzee abdul kwa kupanda mbegu bora iloleta matunda hata kama alitelekeza familia
Hshahahaa Safi sananamkumbuka huyu baba diamond walipouza nyumba ya urithi kariakoo alivyokuwa mtu wa bata sana, anadrive landcruiser huku mama diamond na mtoto wake diamond wanashinda njaa, hakuwasaidia chochote!